Kiswahili kabla ya uhuru
Kiswahili na wenyeji wake
Kiswahili hakikuwa na wazungumzaji ambao wapo nje ya Afrika mashariki. Kama ilivo hivi Sasa. Lugha ya kiswahili ilikuwa na mawazo mengi juu ya chimbuko lake kwa kuwa wengi wao wanadai kuwa chimbuko lake ni Kongo wengine wanadai kameruni wengine wanadai kuzagaa kwa wabantu.
Halkadhalika wapo wanaodai kuwa kiswahili kilitolewa mbali na pwani ya Afrika mashariki yaani kiswahili kimeletwa na waarabu na waengereza.
Kwa hivyo migongano hiyo imesababisha kiswahili kupanda chati katika maeneo mengine ya bara la Afrika na duniani koteHivyo ni vyema kuithamini na kuitunza lugha ya kiswahili
Comments
Post a Comment